[00:00:00] Speaker A: Hello, this is your pastor, Tony Kapola, na nataka niukaribisha karika kusikiliza neno la mungu tena siku ya leo. Biblia nasema neno la mungu ni taa ya migu yetu na lunatumulikia kila mahali tunapokuenda. Ma neno haya, yatafungua macho yako. Inezekana hukuna gizo likuwa nakutana wa kwenye maisha yako, lakini liko neno ambalu neno hilo unalo siku ya leo. Karibu.
[00:00:19] Speaker B: Usikubali limitations.
Ukiona kikuazo kiko mahali, changa moto yetu kubwa kwenye maisha haya dunia. Limitations. Vikuazo.
Vikuazo.
into possessing your possession.